Newcastle Boss Alan Pardew amesema mchezaji huyo bado ananafasi ya kuleta mabadiliko katika timu yake Liverpool,alichokikosa sasa ni uzoefu tu na wachezaji wenzie katika timu hiyo, Andy Carrol amezifumania nyavu mara moja tu tangu msimu wa ligi ulipoanza akiwa anacheza nafasi ya mshambuliaji wa mwisho
No comments:
Post a Comment