Mlyuka Last Born
![Mlyuka Last Born](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhz3WMtiyK9o7suiQ1dSIy7BN1fRQMqYr4DVwcmB6v00II44llfVkrrAvzPcM7B_MVZMby9SsKfLWLyQ5LvrVdNVW51SxVcQ9RTXuoo5O8f5pOWj_0Xcpx6eM6uUgi0ryDFSUwbVssuow96/s150/dj+zaro_001.jpg)
Thursday, September 22, 2011
Andy Carrol Bado Anahitaji Uzoefu Wakutosha
Newcastle Boss Alan Pardew amesema mchezaji huyo bado ananafasi ya kuleta mabadiliko katika timu yake Liverpool,alichokikosa sasa ni uzoefu tu na wachezaji wenzie katika timu hiyo, Andy Carrol amezifumania nyavu mara moja tu tangu msimu wa ligi ulipoanza akiwa anacheza nafasi ya mshambuliaji wa mwisho
ANTI VIRUS VOL 2 HII APA BUREEEEEEEEE!
Wapo Rama D,Sogg Dogg,Mkoloni,Dani Msimamo,Mapacha,Mh.Mbunge wa Mbeya mjini Na wakali wengine kibao.
Subscribe to:
Posts (Atom)